Jumamosi, 28 Desemba 2013

MAPISHI YA MCHANGANYIKO WA MBOGA MBOGA

leo tutajifunza mapishi ya mboga mchanganyiko @MARINE HOTEL

 
MahitajiViazi ulaya 4 vya wastani
Hoho jekundu 1/2
Hoho la njano 1/2
Hoho la kiajani 1/2
Njegere 1 kikombe cha chai
Carrot 1 kubwa
Broccoli kidogo
Cauliflower kidogo
Kitunguu 1
Nyanya 1/2 kopo
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chakula
Curry power 1 kijiko cha chakula
Coriander powder 1 kijiko cha chai
Tarmaric 1/2 kijiko cha chai
Olive oil
Chumvi
1/4 ya limao

Matayarisho
Katika sufuria isiyoshika chini kaanga vitunguu mpaka viwe vya brown kisha tia swaum/tangawizi na spice zote kaanga kwa muda mfupi kisha tia nyanya na chumvi. pika mpaka nyanya ziive kisha tia vegetable zote na vimaji kidogo sana na kisha kamulia limao, baada ya hapo punguza moto na kisha funika na zipike mpaka vegetable zote ziive na rojo ibakie kidogo. Baada ya hapo mboga yako itakuwa tayari kwa kuliwa.

Ijumaa, 27 Desemba 2013

MARINE HOTEL KAHAMA SHINYANGA

            SWAHILI LUNCH @ MARINE HOTEL KARIBUNI SANA WATEJA WETU WALI KUKU,MAHARAGE NA MBOGA MBOGA KAMA COMPANY
 

 
KILA SIKU NDANI YA MARINE HOTEL VYAKULA VIFUATAVYO VINAKUWEPO SIKU ZOTE WEEKDAY MPAKA WEEKEND
WALI WA NAZI NA PANCAKES

 
                                   PANCAKES NA CHAI YA MAZIWA AU MAZIWA FRESH

 
WALI MWEUPE
 
PIA TUNA ROAST BEEF UNAWEZA KUCHAGUA KULA KWA WALI MWEUPE AU UGALI

 
KUNA CHIPSI KWA SAMAKI SATO NA SANGARA KWA BEI NAFUU SANA
 
 
CHIPSI KUKU
 
 
VUTAHAMU YA KULA - KARIBIA MARINE HOTEL NA MAPUMZIKO NI KILA SIKU KUTANA NA WAHUDUMU WACHESHI NA WAKARIMU